MEAT CAKE
Nyama 11/2kg (ya kusaga)
Siagi 1/4kg
Unga1/4kg
Carrot1/4kg
Pilipili mbuzi 1/4kg
Mayai 18
Uzile
Mdalasini
Pili pili manga
B.powder 2tsp
Ndimu 1
Thomu kidogo
Method:
Changanya nyama, thomu, ndimu, pilipili manga, mdalasini na uzile na upike
pamoja iwive kasha saga siagi na mayai 6 hadi iwe cream na nyepesi kama
unavyofanya kwa keki ya sukari kasha changanya pamoja kwa unga na
B.powder changanya kwa mkono mpaka uchanganyike piga mayai mengine 6
na uchanganye na ile nyama kwa kijiko mpaka ichanganyike vizuri. Para
carrot zako kwa kutumia kile kibati cha kuparia chips nazo ziwe kama chips
tena zichemshe kidogo ziwive, kata pilipili boga ziwe slices za duara
nyembamba. Mwisho paka trey yako siagi itandaze ienee yote na mimina ule
mchanganyiko wa cake juu yake halafu tandaza juu yake ule mchanganyiko
wa nyama na mayai, tena vunja mayai 6 yalibakia uyapige vizuri, tandaza
carrots zako juu yake na zile slices za pili pili boga, kasha malizia kwa
kunyunyiza mote yale mayai uliyoyapiga tia ktk oven pre-heated temp. 180C
mpaka ikauke na iwive na ikipoa kata square na uwandae.
Nimependa sana munaelimisha vizuri ,naelewa hasaa jinsi kuaandaa hayo mapishi kwa uwazi ila ningependa kupokea simu ya mkononi kutoka kwenu kwmaana munipigie kwasababu sijaaona njia ya kuwasialiana na nyi ispokua kwa maoni ya maandishi tuu mi ningependelea kupokea simu na kufarijika kuja kujifunza kwenu....
JibuFutaNimependa sana munaelimisha vizuri ,naelewa hasaa jinsi kuaandaa hayo mapishi kwa uwazi ila ningependa kupokea simu ya mkononi kutoka kwenu kwmaana munipigie kwasababu sijaaona njia ya kuwasialiana na nyi ispokua kwa maoni ya maandishi tuu mi ningependelea kupokea simu na kufarijika kuja kujifunza kwenu....
JibuFuta