Ni blog inayohusu mapishi kwa ujumla wake.Pia unawezakulike facebook page yetu ambayo ni www.facebook.com/Mapishijikoni
Jumatatu, 29 Septemba 2014
TOFI
MAHITAJI:
Maziwa ya kibati
Maji * kikombe
Hiliki
Sukari na arki kiasi
Njia:
Teleka maziwa changanya maji, sukari arki na iliki koroga usiwache mkono
mpaka iwe nzito. Tia samli kidogo na epua. Tandaza kwenye sinia
iliyopakwa samli na kata.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni