Vinavyohitajika
· Maziwa lita 2
· Kibati cha mango pulp kimoja au embe fresh iliyomenywa unayoweza kupata pulp.
· Sukari kiasi
Namna ya kutayarisha na kutengeneza
· Mimina maziwa kwenye blender.
· Pamoja na sukari na mango pulp.
· Isage kwa pamoja ichanganyike.
· Imimine kwenye jagi na uweke barafu ya kutosha.
· Tayari kwa kunywewa.
Kidokezo
Sharbati hii ni nzuri kwa afya na pia unaweza kuifanya kwa matunda tafauti uyapendayo lakini yasiwe ya ukali tu kwani maziwa yatakatika
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni